قَالَ يَٰقَوْمِ إِنِّى لَكُمْ نَذِيرٌ مُّبِينٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhahiri kwenu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu!