caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:12

وَيُمْدِدْكُم بِأَمْوَٰلٍ وَبَنِينَ وَيَجْعَل لَّكُمْ جَنَّٰتٍ وَيَجْعَل لَّكُمْ أَنْهَٰرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani na atakufanyieni mito.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70