caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:40

فَلَآ أُقْسِمُ بِرَبِّ ٱلْمَشَٰرِقِ وَٱلْمَغَٰرِبِ إِنَّا لَقَٰدِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi naapa kwa Mola Mlezi wa mashariki zote na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70