أَيَطْمَعُ كُلُّ ٱمْرِئٍ مِّنْهُمْ أَن يُدْخَلَ جَنَّةَ نَعِيمٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Bustani ya mbinguni ya neema?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika Pepo ya neema?