caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:30

إِلَّا عَلَىٰٓ أَزْوَٰجِهِمْ أَوْ مَا مَلَكَتْ أَيْمَٰنُهُمْ فَإِنَّهُمْ غَيْرُ مَلُومِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa kwa wake zao, au iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, basi hao hawalaumiwi
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70