caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:25

لِّلسَّآئِلِ وَٱلْمَحْرُومِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa mwenye kuomba na anayejizuilia kuomba;
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70