caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 76

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:76

قَالَ ٱلَّذِينَ ٱسْتَكْبَرُوٓا۟ إِنَّا بِٱلَّذِىٓ ءَامَنتُم بِهِۦ كَٰفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema wale wanaojivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayoyaamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70