caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:55

ٱدْعُوا۟ رَبَّكُمْ تَضَرُّعًا وَخُفْيَةً إِنَّهُۥ لَا يُحِبُّ ٱلْمُعْتَدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMuombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi wavukao mipaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMuombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi warukao mipaka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70