caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:45

ٱلَّذِينَ يَصُدُّونَ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ وَيَبْغُونَهَا عِوَجًا وَهُم بِٱلْـَٔاخِرَةِ كَٰفِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale wanaozuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wanataka ipotoke, nao wanaikufuru Akhera.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale ambao walikuwa wakizuilia Njia ya Mwenyezi Mungu, na wakataka kuipotosha, nao wanaikanusha Akhera.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70