caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:25

قَالَ فِيهَا تَحْيَوْنَ وَفِيهَا تَمُوتُونَ وَمِنْهَا تُخْرَجُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Humo mtakuwa hai, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70