caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 178

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:178

مَن يَهْدِ ٱللَّهُ فَهُوَ ٱلْمُهْتَدِى وَمَن يُضْلِلْ فَأُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَٰسِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYule ambaye Mwenyezi Mungu amemuongoa, basi huyo ndiye mwongofu. Na yule aliyempoteza, basi hao ndio waliohasiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYule ambae Mwenyezi Mungu amemuhidi (amemuongoza) basi huyo amehidika (ameongoka) na alie muacha kupotea basi hao ndio walio Khasirika
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70