وَٱلَّذِينَ يُمَسِّكُونَ بِٱلْكِتَٰبِ وَأَقَامُوا۟ ٱلصَّلَوٰةَ إِنَّا لَا نُضِيعُ أَجْرَ ٱلْمُصْلِحِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale wanaokikamata sawasawa Kitabu, na wakasimamisha Swala, hakika Sisi hatupotezi ujira wa watengenezao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale wanao kishikilia Kitabu, na wakashika Swala - hakika Sisi hatupotezi ujira wa watendao mema.