قَالَ فَبِمَآ أَغْوَيْتَنِى لَأَقْعُدَنَّ لَهُمْ صِرَٰطَكَ ٱلْمُسْتَقِيمَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Kwa kuwa umenipotosha, basi hakika nitawakalia katika Njia yako iliyonyooka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, basi nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka.