caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 132

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:132

وَقَالُوا۟ مَهْمَا تَأْتِنَا بِهِۦ مِنْ ءَايَةٍ لِّتَسْحَرَنَا بِهَا فَمَا نَحْنُ لَكَ بِمُؤْمِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema, "Hata ukitujia na Ishara zozote zile kutufanyia uchawi kwazo, basi sisi hatutakuamini."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakisema: Hata ukituletea Ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70