caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 113

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:113

وَجَآءَ ٱلسَّحَرَةُ فِرْعَوْنَ قَالُوٓا۟ إِنَّ لَنَا لَأَجْرًا إِن كُنَّا نَحْنُ ٱلْغَٰلِبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wachawi wakamjia Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutakuwa sisi ndio washindi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70