caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 111

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:111

قَالُوٓا۟ أَرْجِهْ وَأَخَاهُ وَأَرْسِلْ فِى ٱلْمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Mwache kidogo yeye na kaka yake, na watume mijini wakusanyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Mwache kidogo yeye na nduguye, na watume mijini wakusanyao,.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70