وَإِنَّا لَنَعْلَمُ أَنَّ مِنكُم مُّكَذِّبِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanaokadhibisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanao kadhibisha.