caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:27

يَٰلَيْتَهَا كَانَتِ ٱلْقَاضِيَةَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLaiti mauti ndiyo yangelikuwa ya kunimaliza kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLaiti mauti ndiyo yangeli kuwa ya kunimaliza kabisa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70