وَٱنشَقَّتِ ٱلسَّمَآءُ فَهِىَ يَوْمَئِذٍ وَاهِيَةٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa.