caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:35

أَفَنَجْعَلُ ٱلْمُسْلِمِينَ كَٱلْمُجْرِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani tutawafanya Waislamu kama wahalifu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70