caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:15

إِذَا تُتْلَىٰ عَلَيْهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnaposomewa Aya zetu, husema: "(Hizi ni) simulizi za uongo za watu wa zamani!"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAnapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi za uwongo za watu wa zamani!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70