caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ نٓ وَٱلْقَلَمِ وَمَا يَسْطُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNuun. Ninaapa kwa kalamu na yale wayaandikayo.[1]
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNuun. Naapa kwa kalamu na yale wayaandikayo!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70