caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mulk, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 77 · 67:14

أَلَا يَعْلَمُ مَنْ خَلَقَ وَهُوَ ٱللَّطِيفُ ٱلْخَبِيرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAsijue yule aliyeumba, naye ndiye Mjua siri, Mwenye habari?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAsijue aliye umba, naye ndiye Mjua siri, Mwenye khabari?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70