فَٱعْتَرَفُوا۟ بِذَنۢبِهِمْ فَسُحْقًا لِّأَصْحَٰبِ ٱلسَّعِيرِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Moto wenye mwako mkali!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Motoni!