فَذَاقَتْ وَبَالَ أَمْرِهَا وَكَانَ عَٰقِبَةُ أَمْرِهَا خُسْرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ikauonja ubaya wa mambo yake; na mwisho wa mambo yao ilikuwa hasara.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ikauonja ubaya wa mambo yake; na mwisho wa mambo yao ilikuwa khasara.