caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saff, Aya 10

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 109 · 61:10

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ هَلْ أَدُلُّكُمْ عَلَىٰ تِجَٰرَةٍ تُنجِيكُم مِّنْ عَذَابٍ أَلِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi mlioamini! Nikuonyesheni biashara itakayokuokoeni na adhabu iliyo chungu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi mlio amini! Nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70