caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 66

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:66

وَكَذَّبَ بِهِۦ قَوْمُكَ وَهُوَ ٱلْحَقُّ قُل لَّسْتُ عَلَيْكُم بِوَكِيلٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kaumu yako waliikadhibisha, nayo ndiyo Haki. Sema: Mimi si wakili juu yenu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa watu wako wameikanusha, nayo ni Haki. Sema: Mimi sikuwakilishwa juu yenu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70