caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:45

فَقُطِعَ دَابِرُ ٱلْقَوْمِ ٱلَّذِينَ ظَلَمُوا۟ وَٱلْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIkakatwa mizizi ya kaumu waliodhulumu, na sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIkakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa ni Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70