caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:29

وَقَالُوٓا۟ إِنْ هِىَ إِلَّا حَيَاتُنَا ٱلدُّنْيَا وَمَا نَحْنُ بِمَبْعُوثِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema: Hakuna mengine isipokuwa maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70