caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 163

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:163

لَا شَرِيكَ لَهُۥ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا۠ أَوَّلُ ٱلْمُسْلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHana mshirika yeyote. Na hayo ndiyo niliyoamrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70