لَّا تُدْرِكُهُ ٱلْأَبْصَٰرُ وَهُوَ يُدْرِكُ ٱلْأَبْصَٰرَ وَهُوَ ٱللَّطِيفُ ٱلْخَبِيرُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMacho hayawezi kumzunguka, naye anayazunguka macho. Naye ni Mjua siri, Mwenye habari zote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMacho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari.