فَسَلَٰمٌ لَّكَ مِنْ أَصْحَٰبِ ٱلْيَمِينِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa wale wa upande wa kulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ni Salamu kwako uliye miongoni mwa watu wa upande wa kulia.