caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 85

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:85

وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنكُمْ وَلَٰكِن لَّا تُبْصِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi, lakini hamuoni.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70