caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 64

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:64

ءَأَنتُمْ تَزْرَعُونَهُۥٓ أَمْ نَحْنُ ٱلزَّٰرِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, ni nyinyi mnayoyaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Ni nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70