إِنَّهُمْ كَانُوا۟ قَبْلَ ذَٰلِكَ مُتْرَفِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa.