caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 27

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:27

وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو ٱلْجَلَٰلِ وَٱلْإِكْرَامِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa utabakia uso wa Mola wako Mlezi, wenye utukufu na ukarimu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70