caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:6

فَتَوَلَّ عَنْهُمْ يَوْمَ يَدْعُ ٱلدَّاعِ إِلَىٰ شَىْءٍ نُّكُرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi jiepushe nao. Siku atakapoita mwitaji kuliendea jambo linalochusha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitaji kuliendea jambo linalo chusha; .
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70