caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:43

أَكُفَّارُكُمْ خَيْرٌ مِّنْ أُو۟لَٰٓئِكُمْ أَمْ لَكُم بَرَآءَةٌ فِى ٱلزُّبُرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe! Makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70