caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 42

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:42

كَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا كُلِّهَا فَأَخَذْنَٰهُمْ أَخْذَ عَزِيزٍ مُّقْتَدِرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika mshiko wa Mwenye nguvu, Mwenye uwezo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika kama anavyo shika Mwenye nguvu Mwenye uweza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70