caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:40

وَلَقَدْ يَسَّرْنَا ٱلْقُرْءَانَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tumeisahilisha Qur-ani kuikumbuka. Lakini yupo anayekumbuka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika tumeisahilisha Qur'ani kuikumbuka. Lakini yupo anaye kumbuka?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70