وَلَقَدْ أَنذَرَهُم بَطْشَتَنَا فَتَمَارَوْا۟ بِٱلنُّذُرِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika yeye aliwaonya adhabu yetu; lakini wao waliyatilia shaka hayo maonyo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika yeye aliwaonya adhabu yetu; lakini wao waliyatilia shaka hayo maonyo.