caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:14

تَجْرِى بِأَعْيُنِنَا جَزَآءً لِّمَن كَانَ كُفِرَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIkawa inakwenda kwa macho yetu, kuwa ni malipo kwa aliyekuwa amekanushwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIkawa inakwenda kwa nadhari yetu, kuwa ni malipo kwa alivyo kuwa amekanushwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70