caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 10

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:10

فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنِّى مَغْلُوبٌ فَٱنتَصِرْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: 'Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru!'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70