caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:48

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَغْنَىٰ وَأَقْنَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwamba ni Yeye ndiye anayetosheleza na kukinaisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwamba ni Yeye ndiye anaye tosheleza na kukinaisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70