caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:43

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَضْحَكَ وَأَبْكَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwamba Yeye ndiye anayeleta kicheko na kilio.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70