caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:27

إِنَّ ٱلَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِٱلْـَٔاخِرَةِ لَيُسَمُّونَ ٱلْمَلَٰٓئِكَةَ تَسْمِيَةَ ٱلْأُنثَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wale wasioamini Akhera bila ya shaka wao ndio wanawaita Malaika kwa majina ya kike.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wasio amini Akhera bila ya shaka wao ndio wanawaita Malaika kwa majina ya kike.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70