caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:15

عِندَهَا جَنَّةُ ٱلْمَأْوَىٰٓ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKaribu yake ndiyo ipo Bustani ya mbinguni inayokaliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKaribu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70