وَٱصْبِرْ لِحُكْمِ رَبِّكَ فَإِنَّكَ بِأَعْيُنِنَا وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ حِينَ تَقُومُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ingojee hukumu ya Mola wako Mlezi. Kwani wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi unapo simama,