caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:43

أَمْ لَهُمْ إِلَٰهٌ غَيْرُ ٱللَّهِ سُبْحَٰنَ ٱللَّهِ عَمَّا يُشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wanaye mungu asiyekuwa Mwenyezi Mungu? Ametakasika Mwenyezi Mungu mbali na hao wanaowashirikisha naye.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanae mungu asiye kuwa Mwenyezi Mungu? Subhanallah! Ametaksika Mwenyezi Mungu na hao wanao washirikisha naye.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70