caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 37

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:37

أَمْ عِندَهُمْ خَزَآئِنُ رَبِّكَ أَمْ هُمُ ٱلْمُصَۣيْطِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wanazo hazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70